Song of Ethics - Wimbo wa Maadili

Song of Ethics - Wimbo wa Maadili
 


Nikiwa ofisa wa polisi

Nina jukumu la kutekeleza sheria

Wajibu wangu mkubwa

Ni kudhudumiwa watu

Kulinda maisha namalizao.


Kuwalinda wasio na hatia

Dhidiya udanganyifu

Dhaifu dhidi ya ugandamizaji

Vitishio dhidiva vurugu

Nita heshimu hakiza kikatiba

Katika uhuru usawa na haki.


Nitaitunza heshima yangu

Nitakuwa mfano mzuri kwa watuwote

Kuwa jasiri mtulivu

Wakati wa hatari

Sitakuwa na dharau au dhihaka.


Kuwa mvumilivu na mwaminifu

Na kujali ustawi wa wengine

Kimawazno na kimatendo pia

Maisha yangu na ya jamii

Kuwa meano kwa kufuata sheria

Za nchi na zile za idara yangu.


Chochote nitakachokiona

Au kusukia ambacho ni siri kwangu

Au ambacho nimeaminiwa

Kwa kutokana na wadhifa wangu

Kitakuwa siri.


Ni siri ambayo sitaitoa

Kulinda maadili ya kazi

Isipokuma itakapobidi

Kwa mujibu wa sheria za nchi

Ndipo siri itakap fichuliwa

Ili kutekeleza wa jibu wangu.


Siruhushu chuki uhasama

Urafiki vithiri uwamuzi wangu

Sitakubaliana na uhalifu

Na kuwa na huruma ya mashtaka

Kwa wahalifu.


Nitatekeleza sheria zote

Kwa hesima na inavyopaswa

Bila woga au upendeleo

Uovu au nia mbaya;

Kamwe sitatumiua nguvu za ziada

Isipokuwa

Inapobidi kwa mujubu wa sheria.


Ninatambua kuwa bejiyajeshila polisi

Ni ishara uaminifu wangu kwa umma

Nitakuwa mwaminifu kwa umma

Na kwa maadili ya kazi za polisi;

Nitajitahidi kufikia malengo haya

Na kujitoa kikamilifu kwa Mungu

Serikali na jeshi la polisi

La kazi ya kutekeleza sheria.


Comments

Popular posts from this blog

Katyusha - Катюша (Kazakh Ver.)

The Song of Salt - Солёная песня

Chceme Nazad Košice